Hizi ni taarifa njema kwa wapenzi wa muziki wa Hayati Papa Wemba na Wapenzi wa Muziki wa Diamond Platnumz, Taarifa zilizonifikia ni kuwa tarehe 24 mwezi huu Collabo hii itaachiwa.
Endelea kutembelea mtandao huu, uwe wa kwanza kuipakua Hit hii.
NEWSTIME 7 WEEK
Post a Comment