Ads (728x90)

About Us




Diamond Platnumz atachuana vikali na wakali wengine wa Africa akiwemo WIZKID, YEMI ALADE, CASSPER NYOVEST, AKA na wengine.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Diamond Platnumz kushiriki katika tuzo hizo kubwa Duniani kwa sasa, Mara ya kwanza aliposhiriki hakufanikiwa kuchukua tuzo hiyo ambayo ilikwenda kwa Mnigeria DAVIDO, ambae kwa mwaka huu hajaingia katika tuzo hizi.

Tuzo hizi zitatolewa mwishon mwa mwezi June!!!!

Kila La Kheri Diamond Platnumz!!!!!!!!

Post a Comment